Download

menu

Pages

Monday, 22 April 2013

GODBLESS LEMA ASHINDA RUFAA TENA:


Mahakama ya Rufaa Tanzania imetupilia mbali mashtaka ya walokuwa wanapinga ushindi wa Godbless Lema na kuomba mapitio ya Rufaa tena na mahakama imewaamuru tena wakata rufaa walipe gharama zote za kesi. Wafuasi wa CHADEMA wanashangilia sana muda huu eneo la mahakama

No comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About

Urassapixel